“Napenda kuwasisitiza sana suala la nidhamu ya kazi, tujenge utamaduni wa kuheshimu nafasi tulizonazo na tuwe waadilifu mahala pa kazi, ili hata ukienda taasisi nyingine nje ya BRELA waone kweli ...