Wito wa rais Donald Trump wa Marekani kutaka magaidi wa IS wajereshwe katika nchi walikotokea na kitisho chake cha kuyawekea makampuni ya magari ya Ulaya ushuru ziada ni miongoni mwa mada magazetini ...
Maandamano ya vijana nchini Urusi, mabadiliko ya tabianchi na hatima ya mchango wa walipakodi wa Ujerumani kwaajili ya ujenzi wa Ujerumani Mashariki au Solidarpakt ni miongoni mwa mada magazetini.