Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeanza kuchunguza taarifa za kutekwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na mwanasiasa Humphrey Polepole. Saa chache baada ya kusambaa kwa taarifa za kutekwa kwa ...
Sakata la kutoweka kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, limeingia katika hatua mpya. Hii ni baada ya Wakili kuwasilisha ombi kuitaka ...
"Amuachie mwanangu (Humphrey Polepole). Kama yupo hai, kama hayupo hai waniletee nizike mwenyewe wasiende kumtupa baharini," amesema Anna Mary, ambaye ni mama mzazi wa Humphrey Polepole. Akizungumza ...
‘’Bwana Polepole amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kwa wiki chache zilizopita. Kutekwa nyara kwake katika wakati mgumu kama huu kunadhoofisha uaminifu wa mchakato wa uchaguzi na ni onyo la kutisha ...
Jeshi la polisi nchini Tanzania katika taarifa limesema limeanzisha uchunguzi kufuatia ripoti kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wanafamilia wa Humphrey Polepole- aliyekuwa balozi wa taifa hilo la ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results